This app isn't in any of our charts yet.
We've improved FundiSmart Pro: • Official Post images now appear in better quality, with swipeable multi-image posts. • Improved Read more/Read less behavior for longer Forum posts. • Improved Forum pull-to-refresh. • Profile photos can now be cropped before saving. • Notification, stability, and performance improvements.
FUNDI: Onyesha kazi zako, pata maombi ya kazi, ongeza kipato chako.
FundiSmart Pro - Ni zaidi ya Kupata Kazi. Jenga Profile yako ya kitaalamu, weka picha za kazi ulizofanya (Showcase), badilishana ujuzi na mafundi wenzako kwenye FundiSmart Forum, na shughulikia maombi ya kazi za wateja yanayokufikia. Iwe ni FUNDI umeme, bomba, rangi, seremala, mechanic, au fundi yeyote mwenye ujuzi — FundiSmart Pro inarahisisha: ✅ Kupokea na Kujibu Maombi ya kazi – Shughulikia maombi ya wateja yanayolingana na ujuzi na eneo lako pale yanapopatikana.. ✅ Kupata Kazi/Tenda Haraka – Ona na omba kazi mara tu zinapotangazwa. ✅ Kupata Wateja Zaidi Karibu yako – Panua wigo wako na ongeza kipato. ✅ Taarifa za Papo Hapo kukiwa na kazi – Usikose kazi, tenda au booking yoyote. ✅ Profile ya Kitaalamu – Onyesha ujuzi, uzoefu na huduma zako ili wateja wakuamini. (Weka picha wateja waone kazi zako). ✅ Jamii ya Mafundi na Wataalamu – Jifunze pamoja, shirikiana, na pata suluhisho la changamoto za ufundi ukikwama uliza upate msaada. ✅ FundiSmart Forum – Sehemu ya mafundi, wateja, wadau na wataalamu kushirikiana maarifa, kuuliza maswali na kugundua fursa mpya. ✅ Rekodi/Kumbukumbu – Fuatilia mapato, wateja na kazi zako kwa urahisi ndani ya app. FUNDI ukiwa na FundiSmart Pro, huhitaji tena kusubiri kupewa kazi kwa bahati au maneno ya watu. App hii inakuunganisha moja kwa moja na wateja wanaotafuta fundi wa kuaminika haraka. 🚀 Onekana. Pata Wateja. Ongeza Kipato. Kua Kitaalamu — Pakua FundiSmart Pro leo.
past month, based on 1 day
Downloads
Low confidence109
From install count ÷ months since release
In-app revenue
$0
No in-app purchases
Ads
$0
No ads
Total
$0
In-app + ads
Google Play only. Downloads from daily Top free ranks (or the store's install count); in-app revenue from Top grossing ranks, calibrated on AppTweak's US estimates, or else from downloads; ads from public ad benchmarks. Not reported figures.