This app isn't in any of our charts yet.
Nyimbo zote za bongofleva ndani ya App
Sasa unaweza kusikiliza na kupakua nyimbo za bongofleva kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya yaani bongo fleva na singeli pamoja na hip hop kutoka Tanzania, Afrika mashariki na Afrika nzima. Utapata nyimbo zote mpya kutoka kwa wasanii wakubwa na wasanii wapya kama vile - Alikiba - diamond Platnumz - Marioo -Jux -Harmonize --Rayvanny -zuchu -Nandy na wengine wengi. Pakua na usikilize na kuona nyimbo mpya na video za nyimbo hizo kila wakati hata ukiwa hauna bando. Pia utapata kusoma habari za udaku zinazohusu mastaa na nyota wa muziki wa Tanzania. Nyimbo mpya kila wakati, Ipakue App hii sasa na ufurahie. usisahau kusambaza app hii kwa ndugu na marafiki.
Not enough data yet.
Google Play only. Downloads from daily Top free ranks (or the store's install count); in-app revenue from Top grossing ranks, calibrated on AppTweak's US estimates, or else from downloads; ads from public ad benchmarks. Not reported figures.