★★★★★
Average rating on the App Store. Apple doesn't publish how many ratings each star has.
This app isn't in any of our charts yet.
Vicoba Plus 2.0 REMINDERS ZA MALIPO KWA SMS Weka idadi ya siku kwenye Mipangilio ya kikundi. Wanachama ambao hawajalipa hisa, michango, mkopo au faini watapokea SMS ya kuwakumbusha, automatically. SMS are sent only when you have SMS credits. KUMBUKUMBU ZA SMS See every SMS the group sent: imetumwa, imeshindwa, au salio halikutosha. ALIKA WANACHAMA Tuma SMS kwa kila mwanachama yenye link ya app na nenosiri la muda. Track who has been invited and who has joined. VIONGOZI WANASIMAMIA, WANACHAMA WANAONA Only the group creator, Mwenyekiti, Katibu and Mhazini can add or change records. Wanachama wengine wanaona taarifa za kikundi chao tu. KUUNDA KIKUNDI KWA URAHISI Add leaders and members while creating a group, moja kwa moja kutoka contacts za simu yako. A member who is not in any group can now start their own. MALIPO YA M-KOBA Paste M-Koba payment SMS and record hisa, michango, marejesho au faini in seconds. VUNJA KIKUNDI End-of-cycle share-out: kila mwanachama anaona atakachopata na jinsi kilivyohesabiwa. Close the cycle and start a new one. HARUSI NA MSIBA Rekodi msaada wa harusi na msiba, from the welfare fund or from group funds. RIPOTI ZA FEDHA Balance Sheet, Mapato na Matumizi, Matumizi na Fedha na salio la kuanzia. Share reports as PDF or Excel. Rekodi zako zote za zamani zinabaki. All your existing records carry over automatically.
Vicoba Plus ni programu ya usimamizi wa vikundi vya kuweka na kukopa (VICOBA) na mikopo binafsi, iliyoundwa mahususi kwa Tanzania. Inafanya kazi hata bila intaneti — data yote inahifadhiwa kwenye kifaa chako, na inasawazishwa na seva mara tu unapopata mtandao. Hakuna kukwama kwenye mkutano wa kikundi kijijini bila intaneti. Kwa viongozi wa VICOBA: • Sajili wanachama, hisa, na mizunguko ya michango ya mwaka • Rekodi michango ya kila mwezi na ufuatilie wanachama waliochelewa • Toa mikopo, fuatilia riba, na rekodi marejesho — mfumo hugawa malipo kiotomatiki kati ya deni kuu na riba • Rekodi faini za kuchelewa au kukosa mkutano • Andika mikutano na mahudhurio • Fanya mgawanyo wa faida mwishoni mwa mzunguko Kwa wakopeshaji binafsi (Mkopo Binafsi): • Simamia wateja na mikopo yao bila mzunguko wa hisa/michango • Fuatilia malipo na riba kwa urahisi Vipengele vingine: • Akaunti ya mwanachama — kila mwanachama anaweza kuona historia yake ya michango, mikopo na faini • Thibitisho la kibayometriki (alama ya kidole/uso) kwa ajili ya kusaini mikataba ya mikopo • Ujumbe wa SMS kwa wanachama moja kwa moja kutoka kwenye programu • Uhamishaji wa data (ripoti/nakala rudufu) • Akaunti moja inaweza kusimamia vikundi vingi tofauti Vicoba Plus imejengwa kwa lugha ya Kiswahili, kwa ajili ya vikundi vya kuweka na kukopa na wakopeshaji binafsi wa Tanzania.